Kocha wa zamani wa Gor Mahia aomba kazi AFC Leopards

Kocha wa zamani wa Gor Mahia aomba kazi AFC Leopards

0

Kocha wa zamani wa Gor Mahia aomba kazi AFC Leopards

Nairobi Kenya

Kocha wa zamani wa Gor Mahia Frank Nuttall raia wa Scotland amethibitisha kuwa ni moja ya makocha walioomba kufanya kazi kwenye timu ya AFC Leopards.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku kadhaa toka kocha Rodolfo Zapata raia wa Argentina kuachana na timu hiyo baada ya matokeo mabovu kwenye ligi.

Kocha Frank Nuttall alijiunga na Zamalek kama kocha msaidizi kabla ya kuachana na kazi hiyo baada ya miezi mitatu na kisha akajiunga na timu ya Ghana Hearts of Oak kwa msimu mmoja 2017/2018

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY