Kocha Yanga ataja wachezaji wawili waliomwangusha mechi dhidi ya Simba

Kocha Yanga ataja wachezaji wawili waliomwangusha mechi dhidi ya Simba

0

Kocha Yanga ataja wachezaji wawili waliomwangusha mechi dhidi ya Simba

Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera kwanza amekiri kuzidiwa katika mchezo wao dhidi ya Simba lakini akajitetea kwa kusema ilikuwa ni mpango wao katika mchezo huo dhidi ya Simba.

Kocha mwinyi Zahera msomaji wa Kwataunit.co.ke  alisema Mipango yake baada ya kuona mechi kadhaa za Simba zilizopita ilikuwa ni kuhakikisha anawaacha Simba wauchezee Mpira huku timu yake ikitegemea kucheza Counter Attack

Lakini kuna wachezaji wake aliokuwa akiwategemea kwenye Counter Attack walishindwa kucheza kama alivyowaelekeza

Wachezaji ambao Mwinyi Zahera aliwaona walimwangusha ni Deus Kaseke na Ibrahim Ajibu akidai aliwapa maelekezo ya namna ya kucheza lakini wakashindwa kufanya na kuwafanya Simba kutawala eneo la Kati

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY