Kumbukumbu: Wakati Taifa Stars ikiifunga Cape Verde 3 kwa 1 Wafungaji walikuwa...

Kumbukumbu: Wakati Taifa Stars ikiifunga Cape Verde 3 kwa 1 Wafungaji walikuwa hawa

0

Kumbukumbu: Wakati Taifa Stars ikiifunga Cape Verde 3 kwa 1 Wafungaji walikuwa hawa

Siku kama ya Leo 11.10.2008 ikiwa ni miaka 10 sasa imepita Taifa Stars ilicheza na Cape Verde katika mchezo wa kuwania Kufuzu kombe la Dunia 2010 nchini Afrika Kusini.

Taifa Stars ikicheza katika uwanja wa Taifa ilifanikiwa kuifunga Cape Verde jumla ya mabao 3 kwa 1.

Unawakumbuka wafungaji? Katika Mchezo huo Taifa Stars iliyotakata magoli yake yalifungwa na Athuman Iddi Chuji dakika ya 6, Jerson Tegete dakika ya 29 na Mrisho Ngassa dakika ya 75 huku goli la Wageni Cape Verde  likifungwa na Soares Silvino dakika ya 36.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY