Masoud Djuma apata Timu sasa rasmi ni kocha wa Timu hii

Masoud Djuma apata Timu sasa rasmi ni kocha wa Timu hii

0

Masoud Djuma apata Timu sasa rasmi ni kocha wa Timu hii

Aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba Masoud Djuma Irambona hatimaye amepata timu ya kuifundisha mara baada ya Kufungashiwa virago katika klabu ya Simba mapema mwezi huu wa 10.

Baada ya kufungashiwa virago Simba baadhi ya vilabu vilitajwa ikiwemo Yanga na Mlandege za Tanzania lakini taarifa ikufikie kuwa Masoud Djuma amepata kazi katika klabu ya AS Kigali ya Rwanda.

Masoud Djuma Irambona msomaji wa Kwataunit.co.ke  amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia AS Kigali ya Rwanda.Waliodownload App yetu kaa chonjo muda wowote Tutakuwa Tukitoa zawadi za Vocha, Kama bado haujadownload BONYEZA HAPA waliodownload endelea kutembelea

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY