Matokeo Azam Fc vs Tanzania Prisons TPL Leo

Matokeo Azam Fc vs Tanzania Prisons TPL Leo

0

Matokeo Azam Fc vs Tanzania Prisons TPL Leo

Matokeo mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara kati ya Azam Fc wanaocheza nyumbani Azam Complex dhidi ya Tanzania Prisons.

Mechi imeanza Azam Complex

Azam 0 – 0 Prisons

Dakika ya 5 Mechi bado inaonekana kuchezwa na kila timu hakuna timu iliyozidiwa

Azam 0 – 0 Prisons

Dakika ya 11 Azam Fc wanapata Kona lakini walinzi wa Prisons wanaokoa

Dakika ya 13 Tanzania Prisons wanapata kona baada ya kupiga mpira wa Faulo unaobabatiza walinzi wa Azam Fc

Inachezwa kona inazaa kona nyingine.

Dakika ya 20

Azam 0 – 0 Tanzania Prisons

Dakika 30

Azam fc wanaonekana kutengeneza mashambulizi mengi zaidi kuliko Tanzania Prisons ambao wanaonekana kulinda zaidi.

Dakika ya 36 Attah anaingia vizuri kwenye sita ya Prisons lakini anashindwa kupiga mpira ukaelekea langoni.

Dakika ya 45 Tanzania Prisons wanafanya shambulizi langoni mwa Azam Fc na wanapata Kona

Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zimemalizika kwa sare ya bila Kufungana

HALF TIME

Azam Fc 0 – 0 Tanzania Prisons

KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

Dakika ya 47

Azam 0 – 0 Tanzania Prisons

Dakika ya 50 Tanzania Prisons wanapata kona, Inachezwa kona inazaa kona Nyingine lakini zote zinashindwa kuzaa matunda

Goaaaaaal dakika ya 59 Tanzania Prisons wanapata bao kupitia kwa Yahya Zayd

Azam 1 – 0 Tanzania Prisons

Dakika ya 72 Aggrey Moris anakosa penati baada ya kipa wa Tanzania Prisons Aron kalambo kucheza penati.

Dakika ya 78 Donald Ngoma ambaye leo alianza katika kikosi cha Azam anatoka na  nafasi yake inachukuliwa na Mbaraka Yusuph

DAKIKA 80

Azam 1 – 0 Tanzania Prisons

Dakika ya 86 Prisons wanakosa nafasi nyingine ya wazi inakuwa kona

FULL TIME 

Azam Fc 1 – 0 Tanzania prisons (Yahya Zayd)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY