Matokeo Fainali Yanga Princess vs Tanzanite Queens

Matokeo Fainali Yanga Princess vs Tanzanite Queens

0
Matokeo Fainali Yanga Princess vs Tanzanite Queens

Matokeo Fainali Yanga Princess vs Tanzanite Queens

Timu ya wanawake ya Yanga maarufu kama Yanga Princess leo imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi daraja la Kwanza kwa wanawake mara baada ya kuishinda Tanzanite Queens kutoka ARusha.

Yanga Princess imepata ushindi wa wa bao 2 kwa 0 na kufanikiwa kuwa mabingwa wa ligi daraja la kwanza, msimu ujao Yanga Itashiriki ligi kuu ya wanawake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY