Matokeo kufuzu AFCON Cape Verde vs Tanzania | Taifa Stars leo

Matokeo kufuzu AFCON Cape Verde vs Tanzania | Taifa Stars leo

0

Matokeo kufuzu AFCON Cape Verde vs Tanzania | Taifa Stars leo

Haya ni Matokeo ya Taifa Stars dhidi ya Cape Verde leo 12 October 2018 moja kwa Moja kutoka Cape Verde

Timu zote zipo uwanjani tayari  kwa Pambano la leo

Mechi imeanza katika uwanja wa Taifa wa Cape Verde

Cape Verde 0 – 0 Tanzania

Dakika ya kwanza tu Cape Verde wanaanza kwa Shambulizi lakini kirahisi kabisa Aishi Manula anaudaka mpira

Dakika 5 zimekatika

Cape Verde 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 8 Mudathir Yahya anapenyeza pasi nzuri kwa Simon Msuva lakini Msuva anashindwa kuunganisha mpira ule unatoka na kuwa Goal Kick

Dakika ya 9 Samatta alijaribu kuingia na Mpira kwenye eneo la Kumi na nane lakini anashindwa kupiga pasi ya Mwisho na kuwa Goal Kick

Dakika 10

Cape Verde 0 – 0 Tanzania

Goaaaal dakika ya 15 Cape Verde wanapata bao

Cape Verde 1 – 0 Tanzania

Dakika ya 17 Taifa Stars wanapata Kona, Kona Inapigwa na Msuva almanusra itinge yenyewe kipa anacheza na kuwa Kona Nyingine

DAKIKA 20

Cape Verde 1 – 0 Taifa Stars

Dakika ya 23 Ricardo Gomes kwa mara nyingine anaipatia Cape Verde bao la Pili

Hassan Kessy anapewa kadi ya Njano kwa kucheza faulo

Cape Verde 2 – 0 Tanzania

Dakika 30

Cape Verde 2 – 0 Tanzania

Dakika ya 36 Cape Verde wanaikosa tena Tanzania bao sema tayari ilikuwa Offside

Dakika ya ya 39 Emmanuel Amunike anafanya mabadiliko ya Kumtoa Gadiel Michael na anaingia Shomari Kapombe

Dakika ya 42 Mbwana Samatta anafanya Ubinafsi anashindwa kuwapa pasi wenzake na Kupiga shuti linalopaa

Dakika ya 44 Taifa Stars inapata Kona, Inapigwa Kona inatoka nje.

HALF TIME

Cape Verde 2 – 0 Tanzania

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili kimeanza

Cape Verde 2 – 0 Tanzania

Dakika 50

Cape verde 2 – 0 Tanzania

Dakika ya 59 Tanzania wanafanya Shambulizi zuri ambalo almanusra lizae bao

Dakika ya 72 Anaingia Ally Sonso kuchukua nafasi ya David Mwantika

Dakika ya 77 Taifa Stars wanafanya mabadiliko ya Kumtoa Mudathir Yahya anaingia John Bocco

Dakika ya 83 Bocco anakosa bao la wazi

Goaaaal dakika ya 84 Cape Verde wanapata bao la tatu

Cape Verde 3 – 0 Tanzania

Dakika ya 86 John Bocco anajitisha Kichwa kutoka krosi ya Samatta mpira unagonga mwamba

FULL TIME

Cape Verde 3 – 0 Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY