Matokeo Kufuzu AFCON Ethiopia vs Kenya leo

Matokeo Kufuzu AFCON Ethiopia vs Kenya leo

0

Matokeo Kufuzu AFCON Ethiopia vs Kenya leo

Leo nchini Ethiopia imechezwa mechi ya kufuzu AFCON kati ya Ethiopia waliokuwa wenyeji wa Kenya Kutoka Afrika Mashariki.

Kenya iliyoenda na jeshi lake likijumuisha wachezaji wake karibu wote wa Kimataifa imefanikiwa kutoa sare ya bila Kufungana ugenini.

Kenya kwa Ushindi huo imefikisha points 4 ikiwa kileleni mwa Group F ambalo linatimu za Ghana , Ethiopia na Sierra Leone

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY