Matokeo Malindi vs Yanga leo 13.10.2018

Matokeo Malindi vs Yanga leo 13.10.2018

0

Matokeo Malindi vs Yanga leo 13.10.2018

Matokeo ya moja kwa moja kati ya Malindi ya Zanzibar dhidi ya Yanga leo 13 October 2018

Mechi Imeanza

Malindi 0 – 0 Yanga

Dakika ya tatu Yanga wanafanya mashambulizi mawili langoni mwa Malindi na Kupata Kona

Dakika 5

Malindi 0 – 0 Yanga

Timu zote zinaonekana kushambuliana kwa zamu mechi ikichezwa kwa kupeana zaidi pasi

Malindi 0 – 0 Yanga

Dakika ya 18 Malindi wanapata Kona ikiwa ni ya kwanza kwao kwa mchezo wa Leo

Dakika 20 Bado 0 kwa 0

Dakika 30

Malindi 0 – 0 Yanga

Dakika ya 42 Yusuph Mhilu anashindwa kuiupatia Yanga bao baada ya Kupiga Kichwa dhaifu

Malindi 0 – 0 Yanga

Goaaaaaal dakika ya 43 Emmanuel Martin anapewa safi nzuri na Mrisho Ngassa na kuiandikia Yanga bao la Kwanza, Alibaki yeye na Nyavu

Mpira ni Mapumziko katika uwanja wa Amani hapa Zanzibar Yanga ikiongoza kwa bao moja kwa sifuri bao la Emmanuel Martin dakika ya 43 pasi ya Upendo ya Mrisho Ngassa.

Malindi 0 – 1 Yanga

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili kimeanza Yanga wakiongoza kwa bao la Emmanuel Martin

Dakika 48

Malindi 0 – 1 Yanga (43′ Emmanuel Martin)

Dakika ya 51 Kamusoko anashindwa kumalizia kwa uzuri krosi ya Emmanuel Martin

Dakika 55

Malindi 0 – 1 Yanga (43′ Emmanuel Martin)

Goaaaaaal dakika ya 60 baada ya Kufanya vitru vya Kuburudisha washabiki Mrisho Ngassa anaipatia Yanga bao la Pili assist ya Pius Buswita

Malindi 0 – 2 Yanga

Dakika ya 62 Yanga wanafanya Mabadiliko anatoka Mhilu na Cleophas wanaingia Jaffary Mohammed na Makambo

Dakika ya 80

Malindi 0 – 2 Yanga

Dakika ya 87 Ibrahim Ajibu anajaribu shuti kipa anatema na Kuudaka tena

FULL TIME

Malindi 0 – 1 Yanga (43′ Emmanuel Martin, 60′ Ngassa)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY