Matokeo Mtibwa Sugar vs Biashara United TPL 1.10.2018

Matokeo Mtibwa Sugar vs Biashara United TPL 1.10.2018

0

Matokeo Mtibwa Sugar vs Biashara United TPL 1.10.2018

Matokeo mechi ya ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL Leo 1.10.2018 kutoka uwanja wa Manungu

Mechi Imeanza

Mtibwa Sugar 0 – 0 Biashara United

Dakika ya 10

Mtibwa Sugar 0 – 0 Biashara United

Dakika ya 20

Mtibwa Sugar 0 – 0 Biashara United

Goaaaaal dakika ya 29 Noel Makunja anaipatia bao Biashara United

Mtibwa 0 – 1 Biashara United

Goaaaaaal dakika ya 41 Salum Kihimbwa anaipatia Mtibwa bao la kusawazisha , Ulikuwa ni mpira wa  Adhabu uliopigwa na Salum Kanon kisha Salum Kihimbwa akaunganisha kwa Kishwa.

Mtibwa 1 – 1 Biashara United

HALF TIME

Mtibwa 1 – 1 Biashara United

KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

Mtibwa 1 – 1 Biashara United

Dakika 60

Mtibwa 1 – 1 Biashara United

Dakika 70

Mtibwa 1 – 1 Biashara United

Dakika ya 82 MTIBWA Sugar wanapata bao la pili kupitia kwa Chanongo

Mtibwa Sugar 2 – 1 Biashara United

FULL TIME

Mtibwa Sugar 2 – 1 Biashara United (Kihimbwa, Chanongo – Daniel Manyenye)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY