Matokeo Taifa Stars vs Cape Verde leo 16.10.2018

Matokeo Taifa Stars vs Cape Verde leo 16.10.2018

0

Matokeo Taifa Stars vs Cape Verde leo 16.10.2018

haya ni Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Taifa Stars ( Tanzania ) dhidi ya Cape Verde The Blue Shark kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Mechi Imeanza katika uwanja wa Taifa

Taifa Stars 0 – 0 Cape Verde

Dakika ya kwanza ya Mchezo Simon Msuva anaingia kwenye eneo la Cape Verde lakini mabeki wanakuwa Imara

Dakika ya 8 Cape Verde wanapata Kona baada ya Mpira wa hatari uliopigwa langoni mwa Stars

Dakika ya 13 Samatta anamsetia Simon Msuva Msuva anapiga Shuti linapaa Juu

Bado tAIFA Stars 0 – 0 Cape Verde

Dakika 20 zimekatika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam matokeo yakiwa bado 0 kwa 0

Dakika ya 20 Shomari Kapombe anamimina Mpira mzuri lakini kipa wa Caape Verde anakuwa imara

Dakika ya 21 Taifa Stars wanapata Penati baada ya Simon Msuva kuangushwa kwenye 18

Penati inaenda kupigwa na Mbwana Samatta,

Mbwana Samatta anapiga penati inagonga mwamba inarudi uwanjani

Dakika ya 25

Tanzania 0 – 0 Cape Verde

Goaaaaal Simon Msuva anaipatia Tanzania Bao, Alifanya kazi kubwa Mbwana Samatta kisha akampa ASSIST Msuva aliyefunga kwa mguu wa kushoto

Tanzania 1 – 0 Cape Verde (29′ Simon Msuva)

Dakika ya 37 Licha ya Taifa Stars kuongoza kwa bao 1 kwa 0 bado Cape Verde wanatengeneza zaidi nafasi na Kumiliki mpira

Dakika ya 38 Mbwana Samatta anakimbia pembeni na mpira anapiga krosi lakini mpira wa Msuva unashindwa kulenga bao

Dakika ya 39 Shomari Kapombe almanusra ajifunge wakati akijitahidkuokoa, inakuwa Kona

Dakika ya 44 Cape Verde wanafanya shambulizi ambalo unaweza kusema ni Mungu Tu kaokoa mpira wa kichwa uliopigwa umepaa juu

HALF TIME

Tanzania 1 – 0 Cape Verde (Simon Msuva)

KIPINDI CHA PILI

Taifa Stars wanaanza kwa shambulizi langoni mwa Cape Verde, Shuti la Mudathir Yahya linaenda nje ya Lango

Dakika ya 50 Cape Verde wanapata Kona

Dakika ya 51 John Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Abdi Banda

Dakika ya 56 Mbwana Samatta anapewa kadi ya NJANO

Goaaaaaal dakika ya 57 Mbwana Samatta anaipatia Tanzania bao la Pili, assist ya Mudathir Yahya

Tanzania 2 – 0 Cape Verde (Msuva, Samatta)

Mudathir Yahya ametoka na nafasi yake anaichukua Feisal Salum, Fei Toto

Dakika ya 67 Taifa Stars wanacharuka wanashambulia muda wote

DAKIKA YA 70

Tanzania 2 – 0 Cape Verde (Msuva, Samatta)

Dakika ya 85

Tanzania 2 – 0 Cape Verde (Msuva, Samatta)

Dakika 5 Zimeongezwa

Tanzania bado inaongoza kwa bao 2

FULL TIME

Tanzania 2 – 0 Cape Verde (Msuva, Samatta)

Kuzipata habari punde tu zinapotoka kwenye simu yako kama Inavyoingia Meseji Download Application yetu HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY