Matokeo TPL Azam Fc vs Coastal Union leo

Matokeo TPL Azam Fc vs Coastal Union leo

0

Matokeo TPL Azam Fc vs Coastal Union leo

Matokeo ya Mechi kati ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union leo 8 October 2018 kutoka uwanja wa Azam ( Azam Complex)

Mechi imeanza

Azam Fc 0 – 0 Coastal Union

Dakika 10

Azam Fc 0 0 Coastal Union

Dakika ya 11 Coastal Wanapata kona lakini wanashindwa kuitumia

Dakika ya 16 Joseph Mahundi anajaribu shuti kali langoni mwa Coastal lakini beki anaokoa na kuwa Kona

Dakika ya 25

Azam Fc 0 – 0 Coastal Union

Goaaaaaal dakika ya 29 Donald Ngoma anafunga bao kwa Azam Fc

Azam 1 – 0 Coastal Union

Dakika ya 35 Hassan Mwasapili anajaribu kupiga shuti kali linapaa Juu ya Lango.

Dakika ya 42 Coastal Union wanaonekana kulalamika kutokana na maamuzi ya refa kuonekana kuwanyima penati baada mchezaji wao kuangushwa kwenye penati Box

Coastal Union walihamia kwa dakika kadhaa langoni mwa Azam fc wakishambulia bila kuwapumzisha licha ya kukosa nafasi ya kuswazisha bao.

HALF TIME

Azam 1 – 0 Coastal Union ( 29′ Donald Ngoma)

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili kimeanza katika uwanja wa Azam Fc Azam wakiendelea kuongoza kwa bao moja kwa sifuri bao la Donald Ngoma

DAKIKA 50

Azam 1 – 0 Coastal Union

Coastal Union wanajitahidi kucheza vizuri lakini wanashindwa kutumia nafasi

Dakika 60

Azam 1 – 0 Coastal Union ( 29′ Donald Ngoma)

Dakika ya 65 Anatoka Ngoma anaingia Danny Lyanga

Goaaaaal dakika ya 70 Danny Lyanga anaipatia Azam Fc bao la Pili ikiwa ni dakika 5 tu toka Aingie

Ramadhan Singano anaingia kuchukua nafasi ya Enock Atta Agyei, dakika ya 74

Dakika ya 80

Azam Fc 2 – 0 Coastal Union

FULL TIME

Azam Fc 2 – 0 Coastal Union ( 29′ nGOMA, 70′ Lyanga)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY