Matokeo Yanga sc vs Mbao Fc leo 7.10.2018

Matokeo Yanga sc vs Mbao Fc leo 7.10.2018

0

Matokeo Yanga sc vs Mbao Fc leo 7.10.2018

Matokeo ya mechi kati ya Yanga sc dhidi ya Mba Fc kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam , endelea kufatilia hapa

HALF TIME

Yanga 1 – 0 Mbao Fc (Raphael Daud Loth)

Bao la Yanga limefungwa na Raphael Daud Loth kwa mpira wa Kichwa kwa mpira wa adhabu uliopigwa na Ibrahim Ajibu

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Dakika ya 48 Mpira wa Kurusha kueleka Mbao Fc

Dakika ya 49 Goal Kick kueleka Yanga

Dakika ya 50 Paul Godfrey anawekwa chini na Hussein Kasanga anakaa chini anatibiwa.

Dakika ya 51 Yanga wanaonekana kutaka kumweka Thaban Kamusoko.

Dakika ya 53 Beno Kakolanya anaonekana kuumia kwa mara ya pili na yupo ndani anatibiwa.

Dakika ya 55 Klaus Kindoki anaingia kuchukua nafasi ya Beno kakolanya ambaye anatolewa nje kabisa ya uwanja kwa matibabu zaidi

Dakika ya 60

Yanga sc 1 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 56 Mbao Fc wanapata Kona

Dakika ya 85

Yanga 1 – 0 Mbao fc ( Raphael daud)

Dakika 5 zinaongezwa kabla ya pambano kumalizika katika uwanja wa Taifa, Bado 1 kwa 0 Yanga wakiongoza

Goaaaaaal Ibrahim Ajibu katika dakika za NYONGEZA anafunga moja ya Magoli bora kabisa kwa Mpira wa acrobatic.

FULL TIME

Yanga 2 – 0 Mbao Fc ( Raphael Daud, Ibrahim Ajibu)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY