Mchezaji wa Simba atimkia zake Kenya timu 3 zinamhitaji

Mchezaji wa Simba atimkia zake Kenya timu 3 zinamhitaji

0

Mchezaji wa Simba atimkia zake Kenya timu 3 zinamhitaji

Wakati ligi kuu ikiendelea kuanzia Ijumaa Hii baada ya mapumziko kwaajilii ya Wiki ya FIFA ambapo Taifa Stars ilkuwa ikijiandaa na kucheza mechi 2 dhidi ya Cape Verde nyumbani na Ugenini Mambo ndani ya Klabu ya Singida United yamezidi kwenda kombo.

Beki wa SImba anayecheza katika klabu ya Singida United kwa Mkopo Jamal mwambeleko ameamua kujiondoa katika klabu ya Singida United kufuatia klabu hiyo kushindwa kuzingatia makubaliano  ya mkataba wa Mkopo kutoka Simba.

Mataifa Matano ambayo yameshafuzu AFCON 2019

Beki huyo kwasasa yupo nchini Kenya ambapo ameenda kufanya mazungumzo na klabu tatu za nchini kenya na kama mambo yakienda sawa huenda akasaini huko. Sasa Usipitwe na habari za Uhakika punde tu zinapotoka zitakuja kama sms inavyoingia kwenye simu, Download App yetu Bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY