Michael Olunga aendelea kufanya Vizuri huko Japan

Michael Olunga aendelea kufanya Vizuri huko Japan

0

Michael Olunga aendelea kufanya Vizuri huko Japan

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Kenya Michael Olunga anayekipiga katika Ligi kuu ya Japan J-League ameendelea kuwika kufuatia kufunga bao licha ya timu yake kupoteza.

Mchezaji huyo wa zamani wa Gor Mahia alifungua mechi hiyo kwa kufunga bao dakika ya 32 timu yake ya Reysal ikicheza na Urawa Red Diamonds.

Katika mchezo huo uliisha kwa Urawa kushinda bao 3 kwa 2, Mpaka sasa Olunga ameshafunga magoli mawili akitoa pasi ya usaidizi moja katika mechi 5.

Kuendelea kufanya vizuri kwa Olunga kumezidi kuwapa Moyo Wakenya wengi kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON 2019 kati ya Kenya na Ethiopia wiki Ijayo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY