Mkwanja aliopewa Beno Kakolanya na mashabiki baada tu ya Mechi

Mkwanja aliopewa Beno Kakolanya na mashabiki baada tu ya Mechi

0

Mkwanja aliopewa Beno Kakolanya na mashabiki baada tu ya Mechi

Baada ya mechi kati ya Simba na Yanga mashabiki wengi wa Yanga walimuona Beno Kakolanya ndiye shujaa wa Mchezo huo kwani aliweza kudhibiti mipira mingi ya hatari iliyopigwa langoni mwake.

Beno aliweza kuokoa mipira takribani 10 iliyolenga goli la Yanga na kuwafanya washambuliaji wa Simba kumuona kikwazo kikubwa kwao kufunga magoli.

Baada ya mchezo huo palepale uwanjani washabiki walioguswa na uwezo wa Beno Kakolanya walikuwa wakimpatia Fedha kwa ile style ya Mwenye buku, Buku mbili buku 5 mpaka akaondoka na shilingi 75,000 huku wengine wakimuahidi kumtumia kutokana na kuonyesha kiwango bora siku hiyo.

Beno msomaji wa Kwataunit.co.ke alikiri kuahidiwa na watu wengi wazito wa klabu hiyo kumpatia chochote kutokana na kukoshwa kwao na uwezo wake siku hiyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY