Ni Simba vs Stand United leo uwanja wa Taifa

Ni Simba vs Stand United leo uwanja wa Taifa

0

Ni Simba vs Stand United leo uwanja wa Taifa

Klabu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam leo Itashuka uwanjani kuvaana na wapiga Debe kutoka Shinyanga Stand United chama la wana.

Simba itashuka dimbani kuvaana na Stand uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa kumi kamili alasiri .

Wachezaji watakaokosekana.

Wachezaji watakaokosekana katika mchezo huo ni Jonas Mkude ambaye inaelezwa hali yake bado haijaimarika kutokana na kuumia kwenye mchezo kati ya Simba na African Lyon

Lakini pia Kiungo kutoka Ghana James Kotei naye atakosekana kutokana na kutumikia kifungo cha kukosa mechi 3 baada ya kumpiga ngumi Gadiel Michael wa Yanga wakati wa mechi ya watani

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY