Ratiba mechi 3 za Leo Ligi Kuu TPL 19.10.2018

Ratiba mechi 3 za Leo Ligi Kuu TPL 19.10.2018

0

Ratiba mechi 3 za Leo Ligi Kuu TPL 19.10.2018

Ligi Kuu Tanzania bara itaendelea leo baada ya mapumziko kupisha mechi za Kimataifa ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania ilikuwa na mchuano dhidi ya Cape Verde.

Ligi Itaendelea leo Ijumaa 19 October kwa mechi 3 kuchezwa katika nyasi za viwanja mbalimbali.

Huko Mkoani Mtwara kutakuwa na Mechi kati ya Ndanda watakaokuwa wenyeji wa Mbeya City.

Mechi nyingine itakuwa ni katika uwanja wa Mwadui Complex, mwadui Fc ambao katika mchezo wa Mwisho waliwashangaza Biashara ya Mara kwa kuwafunga bao 2 kwa 0 ugenini watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting leo.

Nao Azam Fc watashuka Azam Complex kuwakaribisha African Lyon ambayo itashuka Dimbani ikimkosa nyota wake Dos Santos, mechi hii itaanza saa moja usiku. Kuyapata matokeo ya mechi hizi kwa wakati, Hakikisha UmeInstall application ya Kwata unit Bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY