Taarifa mpya na Muhimu waliyoitoa Simba Jioni Hii

Taarifa mpya na Muhimu waliyoitoa Simba Jioni Hii

0

Taarifa mpya na Muhimu waliyoitoa Simba Jioni Hii

Klabu ya Simba jioni hii imetoa Taarifa kuhusiana na Mkutano mkuu wa Mwaka wa wanachama.

Kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii wameandika Ujumbe Huu hapo chini

Uongozi wa Simba Sports Club unatoa taarifa kwa wanachama wake wote kuwa kufanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba Sports Club siku ya Jumapili tarehe 4 Novemba, 2018.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY