Taarifa mpya waliyoitoa Yanga Usiku wa leo

Taarifa mpya waliyoitoa Yanga Usiku wa leo

0

Taarifa mpya waliyoitoa Yanga Usiku wa leo

Usiku huu klabu ya Yanga kupitia Ukurasa wake wa Instagram imetoa Taarifa juu ya Kilichoendelea kwenye Kikosi cha Yanga baada ya Kurejea salama kutoka Zanzibar

Baada ya kurejea salama toka Zanzibar kikosi kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa tar 20 uwanja wa Taifa dhidi ya Alliance fc

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY