Taifa Stars yawasili salama nchini Cape Verde

Taifa Stars yawasili salama nchini Cape Verde

0

Taifa Stars yawasili salama nchini Cape Verde

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imewasili salama nchini Cape Verde ambapo iliondoka leo alfajiri kuelkea huko.

Meneja wa timu ya Taifa ya Tanzania Danny Msangi ameiambia kwataunit.co.ke kuwa timu imewasili salama na leo majira ya saa kumi kwa saa za Cape Verde timu itaenda kufanya mazoezi

Taifa Stars yawasili salama nchini Cape Verde

Msangi amefunguka kuwa baada ya kufika huko  wamewakuta wachezaji Mbwana Samatta na Simon Msuva wakiwa tayari wameshafika nchini Cape Verde.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY