Ujumbe wa Dismas Ten baada ya Mo Dewji Kutekwa

Ujumbe wa Dismas Ten baada ya Mo Dewji Kutekwa

0

Ujumbe wa Dismas Ten baada ya Mo Dewji Kutekwa

Leo ni siku ambayo mitandao ya kijamii nchini Tanzania tukio kubwa linaloongelewa toka asubuhi ni tukio la Kutekwa kwa Bilionea Mohammed Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba.

Kufuatia Tukio hilo watu maarufu mbalimbali wamekuwa wakiandika jumbe mbalimbali kuhusiana na Tukio hilo

Moja ya watu walioandika ujumbe kuhusiana na tukio hilo ni Dismas Ten ambaye kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ujumbe huu hapo chini.

Daaah..! Kwa kweli inasikitisha sana..!
Mungu akulinde na akuepushe na mabaya yote @moodewji

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY