Ujumbe wa Haji Manara kwa Msuva kwenye birthday yake

Ujumbe wa Haji Manara kwa Msuva kwenye birthday yake

0

Ujumbe wa Haji Manara kwa Msuva kwenye birthday yake

Leo 2.10.2018 Kiungo wa zamani wa Yanga na mchezaji wa sasa wa Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva anakumbukumbu ya kuadhimisha siku yake ya Kuzaliwa maarufu zaidi kama Birthday.

Afisa habari wa Simba Haji manara ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika Ujumbe huu kwa Msuva.

Ukitaka kujua nn tofauti ya kucheza nyumbani na nje muangalie Simon Happy God Msuva…kwanza Weight na Style yake ya uchezaji..na namna ya kutumia nafasi vyote vimebadilika…..Muda c mrefu natarajia kumuona Europe akiwaburuza Mabeki wa kizungu baada ya kufanya Vema kule Morroco….now kuna haja tuongeze tuzo ya Mchezaji bora wa Tanzania anaecheza nje ya nchi ili kuwapa hamasa zaidi Pro wetu…Tayari tunao kina Samata, Ulimwengu, kesi,Bhanda,Faridi,Chilunda,Himid Mao na wengine..itasaidia pia kuwafanya waliopo home wawe na hamu ya kutoka..njia pekee ya mkato ya kufanya vzuri kwa Timu ya Taifa ni kuwa Professional players wengi nje. 
Na kwa heshma ya Miguu ya Msuva…kwa niaba ya Wanasimba na kwa niaba yangu binafsi nimtakie kheri,Baraka na Fanaka nyingi kwenye siku hii anayosheherekea kuzaliwa..Happy birthday Mwamba @msuva27

@samagoal77 @thomasulimwengu@officiallabdibanda24@official_hassan_kessy_25 @faridmussa_17@chilunda43 @himid23mao

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY