Ujumbe wa Steve Lialia baada ya Miaka miwili ya Kifo cha Ally...

Ujumbe wa Steve Lialia baada ya Miaka miwili ya Kifo cha Ally Yanga

0

Ujumbe wa Steve Lialia baada ya Miaka miwili ya Kifo cha Ally Yanga

Leo 10.10.2018 ni miaka miwili toka shabiki maarufu wa Yanga Ally Yanga alipofariki.

Unamkumbuka yule shabiki wa Yanga aliyewahi kulia hadharani sababu tu ya Yanga kufungwa? yes alikuwa anaitwa Steve Yanga kabla ya kuhamia Azam Fc na kuwa Steve Azam na kwasasa ni muajiriwa kabisa akifanya kazi Azam Tv.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Steve ameandika ujumbe kwa kwa rafiki na shabiki mwenzake wa Yanga Enzi hizo Ally Yanga.

Ni miaka miwili sasa tangia shabiki marufu sana hapa tanzania Ally Yanga tangia amefariki dunia mwenyezi mungu akusamehe dhambi zako huko uliko sote ni njia moja R.I.P. ndugu yangu rafiki yangu mkubwa sana kipindi kile upo hai 🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY