Usajili : Beki huyu wa Kati anatua Yanga dirisha dogo

Usajili : Beki huyu wa Kati anatua Yanga dirisha dogo

0

Usajili : Beki huyu wa Kati anatua Yanga dirisha dogo

Dirisha dogo liko mbioni ambapo litafunguliwa November 15 2018 hadi December 15, 2018

Yanga ni moja ya klabu ambazo taarifa zinasema tayari kumekuwa kuna wachezaji ambao tayari imeshaanza kuwamulika ili kuweza kuongeza nguvu katika kikosi chake.

Matokeo Mwadui vs Ruvu Shooting leo

Moja ya wachezaji ambao Yanga inaelezwa imekuwa katika mipango naye ni beki wa kati wa Mbao Fc David Mwasa ambaye anasifika kwa kumudu namba zaidi ya Moja.

David Mwasa licha ya kucheza kama beki wa kati lakini pia anauwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji, lakini pia anauwezo wa kucheza kama beki wa Kulia hali ambayo inaelezwa kuwavutia zaidi Yanga na kumuweka katika mipango ya kumsajili.

Kuzipata tetesi zote za Usajili kila zinapotokea hakikisha Umeinstall App ya KWATA UNIT >> Bonyeza hapa <<

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY