Walichoandika Simba baada ya Kumkabidhi Diamond Platnumz Tuzo maalum

Walichoandika Simba baada ya Kumkabidhi Diamond Platnumz Tuzo maalum

0

Walichoandika Simba baada ya Kumkabidhi Diamond Platnumz Tuzo maalum’

Jana 2.10.2018 Ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya msanii maarufu nchini Tanzania Diamond Platnumz ambaye hutumia Nickname ya Simba.

Klabu ya Simba kupitia kwa Afisa habari wake Haji Manara walimpelekea Diamond Platnumz tuzo maalumu na Keki ya Birthday kutoka Simba na kuandika Ujumbe Huu.

Msemaji wa timu yetu, Haji Manara leo jioni alimkabidhi msanii maarufu Daimond Platnumz tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika maendeleo ya sanaa na pia kwa yeye Diamond kutumia jina la Simba kama nickname yake kama inavyotumia klabu yetu. Happy Birthday Nassib Abdul.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY