Walichokisema Simba baada ya tukio la kutekwa kwa Mo Dewji

Walichokisema Simba baada ya tukio la kutekwa kwa Mo Dewji

0

Walichokisema Simba baada ya tukio la kutekwa kwa Mo Dewji

Leo asubuhi moja ya tukio kubwa na la kushtua limekuwa tukio la kutekwa kwa Mohammed Dewji Mo ambaye ni mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba wakati akiingia Gym.

Baada ya tukio hilo klabu ya Simba imewataka wanachama, washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba kutulia kwa sasa na wakiwaachia kazi vyombo vya usalama kufanya kazi yake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY