Walichokisema Yanga baada ya Ajibu kuhitajika timu 5 nje ya Nchi

Walichokisema Yanga baada ya Ajibu kuhitajika timu 5 nje ya Nchi

0

Walichokisema Yanga baada ya Ajibu kuhitajika timu 5 nje ya Nchi

Siku kadhaa zilizopita taarifa kutoka kwa meneja wa Mchezaji wa Yanga Ibrahim Ajibu alitoa taarifa kuwa mteja wake Ibrahim Ajibu anahitajika na timu takribani 5 kutoka Mataifa ya Kiarabu na timu moja kutoka Afrika Kusini.

Baada ya taarifa hizo klabu ya Yanga imekuja na Taarifa kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Hussein Nyika juu ya Taarifa hizo.

Nyika ameiambia kwataunit.co.ke kuwa watu watambue kuwa Ajibu bado ni mchezaji wa Yanga na bado anamkataba utakaomalizika mwishoni mwa Msimu huu,

Na kulitambua hilo tayari washaanza mazungumzo na Ajibu juu ya Kuongeza mkataba lakini kama itatokea kunanafasi nzuri ya Ajibu kucheza Nje ya Nchi wao hawana hiyana ya Kumuachia kwenda.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY