Watakaotemwa Yanga dirisha Dogo hawa hapa wamo wakimataifa

Watakaotemwa Yanga dirisha Dogo hawa hapa wamo wakimataifa

0

Watakaotemwa Yanga dirisha Dogo hawa hapa wamo wakimataifa

Tayari joto la usajili dirisha dogo limeanza kupamba moto huku baadhi ya waalimu wakiwa tayari wanalist zao za wachezaji ambao watawatema na wachezaji ambao wanamipango ya kuwaongeza katika vikosi vyao.

Inaelezwa kuwa Yanga huenda ikaachana na nyota wake kadhaa ambao wamekuwa hawana mchango mkubwa kwenye kikosi hiko toka msimu mpya umeanza.

Baadhi ya nyota wanaotajwa kuwa huenda panga la kocha mkuu Mwinyi Zahera huenda likawapitia au kutolewa kwa Mkopo ni Emmanuel Martin ambaye mkataba wake unakaribia Kuisha, Yohanna Mkomola , Maka Edward ambao hawa inaelezwa huenda wakatolewa kwa Mkopo ili kukuza Viwango.

Wenye hatari zaidi ya kutemwa ni pato Ngonyani, Baruan Akilimali na wachezaji wawili wengine wa Kimataifa Amis Tambwe na Thaban Kamusoko.Kuzipata habari punde tu zinapotoka kwenye simu yako kama Inavyoingia Meseji Download Application yetu HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY