Yanga hawatanii dirisha dogo huyu naye unaambiwa kila kitu fresh

Yanga hawatanii dirisha dogo huyu naye unaambiwa kila kitu fresh

0

 

Yanga hawatanii dirisha dogo huyu naye unaambiwa kila kitu fresh

Mambo ni mazuri kutokana na Kamati ya Usajili kuwa imeshaanza kazi ya kuhakikisha wanapata saini za wachezaji wanaowahitaji mapema sana iwezekanavyo.

Moja ya nyota ambao inaelezwa kuwa kila kitu kimekaa fresh ni Obbrey Chirwa ambaye alicheza Yanga msimu uliopita kabla ya kutimka na kwenda uarabuni .

Chirwa kwasasa yupo nchini Tanzania na inaelezwa kuwa kashafanya mazungumzo na kamati ya Usajili inayoongozwa na Hussein Nyika na mambo yanaenda vizuri.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Chirwa aliamua kuvunja mkataba na klabu yake ya sasa na kuja Tanzania akihusishwa na Azam pamoja na Yanga lakini taarifa za ndani zinasema amewapa Yanga kipaumbele zaidi. Kuzipata Tetesi za Usajili kwa haraka zaidi hakikisha UmeInstall App ya Kwata Unit > Bonyeza Hapa <

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY