Zahera amaliza kila kitu tetesi za Chirwa kurudi Yanga

Zahera amaliza kila kitu tetesi za Chirwa kurudi Yanga

0

Zahera amaliza kila kitu tetesi za Chirwa kurudi Yanga

Kocha mkuu wa timu ya Yanga Mcongo Mwinyi Zahera amefunguka kila kitu baada ya tetesi za Obrey Chirwa kutajwa kuwa katika mipango ya kurejea Yanga.

Zahera amefunguka kuwa taarifa ambazo zinasemwa na watu za Chirwa kurejea Yanga si za kweli na yeye kama kocha mkuu hana hizo taarifa lakini pia hana mpango wowote wa kumuhitaji Chirwa.

Zahera ameweka wazi kuwa hamuhitaji Obrey Chirwa kwakuwa si mchezaji mvumilivu hasa timu inapokuwa na matatizo ya Kifedha.

Zahera amekumbushia jinsi ambavyo Chirwa aligoma kusafiri na timu kucheza na USM Alger na baadaye kugomea mechi za Ligi kuu kwa madai ya kutolipwa mishahara wakati hakuwa mchezaji pekee anayedai yalikuwa ni madai ya wachezaji wote. Habari Kiganjani mwako sasa Download App bora ya Michezo kwasasa HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY