Alichokisema Salum Kimenya kuhusu kutua Simba

Alichokisema Salum Kimenya kuhusu kutua Simba

0

Alichokisema Salum Kimenya kuhusu kutua Simba

Dirisha dogo zimebaki siku 3 tuanze kusikia mchezaji fulani anatua timu fulani na fulani kaachwa na mambo kama hayo.

Simba ni moja ya klabu ambayo imekuwa ikitajwa kuwa katika mpango wa kumtaka beki wa kulia wa klabu ya Tanzania Prisons Salum Kimenya.

Alichokisema Thomas Ulimwengu baada ya tetesi za Kutua Simba

Salum Kimenya mwenyewe amefunguka kuwa licha ya yeye kuwa mwajiriwa wa jeshi la magereza haimaanishi kuwa atacheza kwenye timu hiyo milele.

Kimenya amefunguka kama Simba itamfata na Dau la kueleweka basi yeye ataachana na maafande hao na kujiunga na Simba huku akisisitiza kuwa dau lake yeye ni Milioni 50 za Kitanzania kwa timu inayomhitaji.Kuzipata tetesi za usajili za Yanga na simba kila siku Install app yetu BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY