Amka na habari mpya kutoka Yanga leo Jumapili 11.11.2018

Amka na habari mpya kutoka Yanga leo Jumapili 11.11.2018

0

Amka na habari mpya kutoka Yanga leo Jumapili 11.11.2018

Ligi kwa sasa imesimama na lakini klabu mbalimbali zimekuwa zikiendelea na mazoezi kwa lengo la kujiweka fiti, Kwa Mujibu wa ratiba ligi hiyo inatarajiwa kuendelea 1 December 2018.

Moja kati ya timu ambazo zimekuwa zikiendelea na programu nyingine ni Yanga Sc.

Zahera afunguka usajili wa Beki Rayon Sports

Ikufikie tu kuwa leo 11 November 2018 kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na African Lyon uwanja wa Uhuru kuanzia saa 10 kamili lakini pia Yanga itacheza michezo mingine miwili ya Kirafiki kabla ya ligi kuendelea.

Kwa Mujibu wa kaimu katibu mkuu wa Yanga Omary Kaya alifunguka kuwa wanaweza kuwa na mchezo mmoja wa kimataifa na mechi nyingine dhidi ya Namungo inayoshiriki ligi daraja la Kwanza.

Punguza Matumizi ya MB Download App Bora Ya Michezo na Utumie MB chache tu tofauti na Kawaida BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY