Chirwa ataja beki wake bora ligi kuu TPL

Chirwa ataja beki wake bora ligi kuu TPL

0

Chirwa ataja beki wake bora ligi kuu TPL

Siku moja baada ya kumalizana na Azam Fc akisaini kandarasi ya mwaka mmoja Obrey Chirwa amefunguka kuhusu mabeki wa ligi hiyo.

Chirwa mshambuliaji wa zamani was Yanga amefunguka kuwa kwa ligi kuu ya Tanzania haoni kama kuna beki  kumzuia zaidi ya Kelvin Yondani wa Yanga.

Chirwa amemwagia sifa Yondani kuwa ndiye beki pekee ambaye anaweza kumzuia kutokana na uwezo mkubwa wa Yondani kukaba kwa akili nyingine na  kutumia nguvu anapowakabili washambukiaji wa timu pinzani

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY