Matokeo Es Tunis vs Al Ahly fainali ya 2 Klabu Bingwa Afrika

Matokeo Es Tunis vs Al Ahly fainali ya 2 Klabu Bingwa Afrika

0

Matokeo Es Tunis vs Al Ahly fainali ya 2 Klabu Bingwa Afrika

Timu ya ES Tunis wakicheza kwenye uwanja wao wa Nyumbani baada ya kichapo cha bao 3 kwa 1 kutoka kwa Al Ahly katika fainali ya kwanza wamefanikiwa kupindua matokeo na Kuwa Mabingwa wa Afrika ngazi ya Vilabu

Alichokisema Thomas Ulimwengu baada ya tetesi za Kutua Simba

ES Tunis wamefanikiwa kupata Ushindi wa bao 3 kwa o mabao ya Said Bguir dakika ya 45 na 54 na Goli la tatu likifungwa na Anice Badri dakika ya 86 kwa shuti kali.

ES Tunis wanakuwa mabingwa baada ya kupata ushindi wa jumla ya bao 4 kwa 3.Punguza Matumizi ya MB Download App Bora Ya Michezo na Utumie MB chache tu tofauti na Kawaida BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY