Tetesi za usajili Simba leo Jumamosi 10 November 2018

Tetesi za usajili Simba leo Jumamosi 10 November 2018

0

Tetesi za usajili Simba leo Jumamosi 10 November 2018

Dirisha dogo la usajili kwa timu zinazoshiriki ligi kuu soka Tanzania Bara ndiyo hilo zimebaki siku nne tu kabla ya Kufunguliwa huku baadhi ya timu zikiwa zimeshaanza kutangaza baadhi ya mikakati yao

Juzi ziliibuka tetesi za Thomas Ulimwengu kuwa katika mipango ya kutua Simba licha ya yeye mwenyewe Thomas Ulimwengu kugoma kulizungumzia suala hilo akidai kuwa kwasasa akili ipo kwenye timu ya taifa kwanza.

Alichokisema Thomas Ulimwengu baada ya kutajwa kutua Simba

Ikufikie tu kuwa Inaelezwa kuwa Thomas Ulimwengu anaweza kusaini mkataba wa miezi 6 pekee kuitumikia Simba ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha anazidi kuimarisha kiwango chake baada ya kutoka katika majeraha ya muda mrefu.Kuzipata tetesi za usajili za Yanga na simba kila siku Install app yetu BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY