Tetesi za usajili Yanga leo Jumamosi 10 November 2018

Tetesi za usajili Yanga leo Jumamosi 10 November 2018

0

Tetesi za usajili Yanga leo Jumamosi 10 November 2018

Kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amefunguka kuhusu Usajili wa wachezaji anaowahitaji ndani ya Kikosi cha Yanga wakati huu wa dirisha dogo.

Kwanza Zahera alisema kuwa wachezaji anaowahitaji ni wale ambao wataenda na kufiti kwenye mfumo wake moja kwa moja.

Alichokisema Thomas Ulimwengu baada ya tetesi za Kutua Simba

Idadi ya wachezaji anaowahitaji ni wachezaji wanne Beki mmoja, Kiungo mmoja atakayekuwa akisaidiana na akina Feisal Salum na Tshishimbi

ZAHERA akiongezea kuwa anahitaji pia Winga mmoja na Mshambuliaji mmoja.

Katika hatua nyingine Yanga imeanza kutajwa kuwa katika mpango wa kumnasa mshambuliaji wa Ndanda Fc Vitalis Mayanga ambaye anamabao matano mpaka sasa kwenye orodha ya Wafungaji TPL.Punguza Matumizi ya MB Download App Bora Ya Michezo na Utumie MB chache tu tofauti na Kawaida BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY