Usajili Dirisha dogo mambo yameanza kwa Staili Hii

Usajili Dirisha dogo mambo yameanza kwa Staili Hii

0

Usajili Dirisha dogo mambo yameanza kwa Staili Hii

Klabu ya Azam Fc yenye maskani yake nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam leo kupitia kwa Meneja wake Philipo Alando imethibitisha kuwatoa wachezaji wake wawili kwa mkopo.

Kocha Mbambane Ataja mchezaji anayemhofia Simba

Alando amefunguka kuwa wachezaji hao watatolewa kwa Mkopo na tayari kuna timu zimeshatuma Maombi ya kuhitaji huduma za wachezaji hao Waziri Junior ambaye alisajiliwa Azam Fc akitokea Toto Africans ya Mwanza

Lakini Pia mchezaji Ditraim Nchimbi aliyesajiliwa Azam Fc msimu huu akitokea katika klabu ya Njombe Mji. Alando ameweka wazi kuwa tayari vilabu kama Tanzania Prisons, Biashara ya Mara , Mbeya City na Vilabu Vingine vimeomba Huduma ya wachezaji hao.Kwa habari za Uhakika na Tetesi za Usajili Install app bora ya Michezo kwasasa BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY