Usajili mwingine uliokamilika Ligi kuu TPL huu hapa

Usajili mwingine uliokamilika Ligi kuu TPL huu hapa

0

Usajili mwingine uliokamilika Ligi kuu TPL huu hapa

Wakati kila timu ikihaha kutafuta wachezaji watakaokuwa na makali kwenye timu zao baadhi ya klabu zimeendelea kujiimarisha kwa kuongeza wachezaji.

Wachezaji watatu wa Simba waliokubali kutolewa kwa mkopo dirisha dogo

Klabu ya KMC imefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji wa Zamani wa Simba Elias Maguri kwa kandarasi ya miezi 6.

Maguri amesaini miezi 6 KMC baada ya dili lake la kucheza AS Kigali ya Rwanda Kubuma kufuatia masuala ya kiuchumi ya Klabu hiyo kushindwa kuhudumia wachezaji wengi wa Kigeni.Kuzipata tetesi za usajili za Yanga na simba kila siku Install app yetu BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY