Alichoandika Manara baada ya Masau bwire kuwachomolea Pisto washabiki wa Yanga

Alichoandika Manara baada ya Masau bwire kuwachomolea Pisto washabiki wa Yanga

0

Alichoandika Manara baada ya Masau bwire kuwachomolea Pisto washabiki wa Yanga

Jana baada ya mechi kati ya Yanga na RUVU Shooting kumalizika kwa Yanga kushinda bao 3 kwa 2 mashabiki wa Yanga walimvaa afisa habari wa Ruvu Masau Bwire na Kuanza kumzonga na kumzomea.

Kufuatia kitendo hiko Masau Bwire aliamua kutoa Silaha kwa lengo la Kujilinda.

Afisa habari wa Simba Haji Manara ameandika ujumbe huu kutokana na Kitendo kilichotokea.

Masau Bwire pole sana ndugu yangu, ila kitendo mlichofanya baadhi ya Mashabiki wa Yanga c Uungwana hata kdogo,kwa nn mnamfata mtu kumzomea na kumdhihaki hvyo? Huo ni uhuni na ushamba!! Yy kazi yake ni Msemaji na akitambia timu yake ni haki yake but hazomei mtu,hata na Simba alitamba tukamalizane nae Uwanjani kwa kumpa khamsa ila hakuzomewa kwa Kumbughudhi hvyo!!
Next time Masau vunja ashua tu coz usalama wako ulikuwa shakani… 

Endelea kutuSupport tuendelee kukupa Habari zetu kila Siku Install App yetu BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY