Alichoandika Manara tukio la Dante kumpiga Kichwa mwamuzi

Alichoandika Manara tukio la Dante kumpiga Kichwa mwamuzi

0

Alichoandika Manara tukio la Dante kumpiga Kichwa mwamuzi

Afisa habari wa klabu ya Simba Haji manara ameandika kuhusiana na tukio la Beki wa Yanga Andrew Vincent Chikupe “Dante” Kuonekana kumpiga Kichwa mwamuzi wa pambano kati ya Prisons na Yanga Meshack Suda kutoka Singida.

Mechi tano zinazofuata kwa Yanga TPL 

Akitumia Ukurasa wake wa Instagram Haji manara ameandika Ujumbe Huu hapo chini.

Ni Tanzania tu Mwamuzi anapigwa kichwa hadharani kisha hatoi red card,halaf hii ni mara ya ngapi tukio hili linafanyika kwa beki hodari aliyepo Timu ya Taifa? Michezo ni uungwana c ubabe wala vita!! Bodi ya ligi mpo?

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY