Amka na habari hii mpya na muhimu kutoka Simba leo

Amka na habari hii mpya na muhimu kutoka Simba leo

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Amka na habari hii mpya na muhimu kutoka Simba leo

Wawaikishi wa Tanzania bara katika michuano ya Klabu bingwa barani afrika Klabu ya soka ya Simba December 14 2018 itakuwa na kibarua cha kumenyana na Nkana Fc ya Zambia

Mechi hiyo msomaji was Kwataunit.co.ke Itachezwa huko Zambia kabla ya marudiano kuchezwa Tanzania.

Kuelekea mchezo huo klabu ya Simba imethibitisha kuwa Kikosi cha Simba kitaondoka Jumatano ya December 12 kuelekea Zambia tayari kwaajili ya Mchezo huo wa December 14.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY