Bigirimana Blaise anatua Huku mzee Baba

Bigirimana Blaise anatua Huku mzee Baba

0

Bigirimana Blaise anatua Huku mzee Baba

DIRISHA DOGO limezidi kupamba moto na timu mbalimbali zimeanza kuonyesha cheche kwa kuchukua wachezaji ambao wanaona wataweza kuzisaidia timu zao kwenye ligi kuu soka Tanzania bara TPL.

Wakati Yanga ikitajwa kuwa katika mipango ya kumnasa Straika Mrundi Bigirimana Blaise mambo huenda yasiende kama ambavyo inadhaniwa kwani upepo unaonekana kubadilika.

Yanga waanza na Huyu dirisha dogo

Bigirimana Blaise ambaye bado anamkataba na chama la wana Stand United inaelezwa kutokana na kutolipwa stahiki zake kwa wakati anampango wa kuvunja mkataba na Stand United na inaelezwa huenda akatua Alliance Fc ya Mwanza

Kuna taarifa zinaeleza kuwa mchezaji huyo ameshaanza mazoezi na Alliance na Huenda akatangazwa na uongozi wa Alliance kama mchezaji wao hivi karibuni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY