Breaking News: Huyu ndiyo mchezaji bora TPL mwezi November

Breaking News: Huyu ndiyo mchezaji bora TPL mwezi November

0

 

Breaking News: Huyu ndiyo mchezaji bora TPL mwezi November

Kamati ya Tuzo ligi kuu imemchagua Mchezaji wa yanga Heritier Makambo kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara TPL mwezi November 2018 baada ya kuwazidi aliokuwa akichuana nao.

Makambo amewashinda Said Dilunga wa Ruvu Shooting na Abdallah Shaibu Ninja.

TFF kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii wameandika

MSHAMBULIAJI wa Yanga Heritier Makambo amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL),Makambo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Said Dilunga wa Ruvu Shooting na beki Abdallah Shaibu wa Yanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY