Dongo la Haji Manara kwa Yanga kisa mechi ya Tukuyu

Dongo la Haji Manara kwa Yanga kisa mechi ya Tukuyu

0

Dongo la Haji Manara kwa Yanga kisa mechi ya Tukuyu

Afisa habari wa Simba Haji manara ameamua kushusha dongo kwa Yanga kisa tu mahudhurio hafifu ya watu wa Yanga kwenye mechi ya Kombe la Azam Sports Federation Cup.

Yanga msomaji wa Kwataunit.co.ke ilicheza na Tukuyu Stars jana 24.12.2018 wakati Simba Ikicheza hapo hapo uwanja wa Taifa 23.12.2018 Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha 2 za Mahudhurio mechi ya Simba na Nkana na Yanga vs Tukuyu

Tambwe ammwagia sifa mchezaji huyu Yanga

Kisha aliuliza ipi timu ya wananchi?

Angalia ujumbe wake wote hapa

Ipi Team ya Wananchi hapo? Okey cc ni team ya Watu na hyo Ndio tofauti yetu wao na cc
By the way nisisahau kuwapongeza kwa kuifunga Tukuyu Stars na kufuzu makundi ya Afrika,tutakutana huko 😎

Install App yetu ya kwata Unit Bonyeza Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY