Fundi huyu mwenye vitu kama Fei Toto na Ajibu bado kidogo asaini...

Fundi huyu mwenye vitu kama Fei Toto na Ajibu bado kidogo asaini Yanga

0

 

Fundi mwenye vitu kama Fei Toto na Ajibu bado kidogo asaini Yanga

Yanga huenda ikazidi kunoga baada ya Dirisha dogo kwani aina ya wachezaji ambao wanatajwa kutua ndani ya Kikosi cha Yanga huenda wakaongeza nguvu kubwa sana katika kikosi cha Yanga.

Moja kati ya wachezaji ambao ni mahiri kwa kuchezea mpira wanapokuwa uwanjani Kama ilivyo kwa Feisal Salum na Ibrahim Ajibu anatajwa kuwa katika hatua za Mwisho za kumalizana na Yanga.

Mchezaji huyo msomaji wa Kwataunit.co.ke  ni Tibar John kutoka Singida United msimu uliopita akiichezea Ndanda Fc kutoka Mkoani Mtwara kabla ya Kujiunga na Singida United wakati wa dirisha kubwa la Usajili.

Inaelezwa mazungumzo kati ya Viongozi wa Yanga na Tibar John yamefikia pazuri na muda wowote kutoka Sasa anaweza akakabidhiwa jezi ya wanaJangwani hao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY