Habari mpya 2 walizotoa Yanga mchana wa Leo

Habari mpya 2 walizotoa Yanga mchana wa Leo

0

 

Habari mpya 2 walizotoa Yanga mchana wa Leo

KLABU ya Yanga leo imetoa habari mpya mbili kupitia Kurasa zake za mitandao ya Kijamii, Habari ya kwanza ni kuhusiana na mkutano na waandishi wa habari siku ya Kesho makao makuu ya Klabu hiyo majira ya saa tano asubuhi.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

Habari nyingine msomaji wa Kwataunit.co.ke ni kuhusu na kufanya mazoezi katika uwanja wa Polisi kurasini na baada ya mazoezi hayo wachezaji wameingia kambini tayari kwa mchezo dhidi ya Biashara jumapili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY