Habari mpya waliyoitoa Yanga Mchana wa Leo

Habari mpya waliyoitoa Yanga Mchana wa Leo

0

 

Habari mpya waliyoitoa Yanga Mchana wa Leo

Vinara wa ligi kuu soka Ya Tanzania BARA Klabu ya Yanga leo mchana imetoa taarifa kuhusiana na Kikosi chake , yanga kupitia kurasa zake za Twitter na Instagram wameandika ujumbe kuwa timu imeondoka leo kuelekea Dar es Salaam ikitokea Sumbawanga na Kisha Mbeya.

Mechi 5 Zilizobaki kwa Yanga kumaliza Raundi ya 1 TPL

Kwenye taarifa hiyo Imeeleza kuwa Baada ya kufika Dar kikosi kitaingia kambini moja kwa moja kwaajili ya mchezo dhidi ya Biashara United Jumapili uwanja wa Taifa.

Kikosi #mabingwawakihistoria🇹🇿 kinarejea jijini Dar mchana huu mara baada ya kubeba point tatu toka kwa Prisons na kitaingia kambini moja kwa moja tayari kwa mchezo wa jumapili dhidi ya Biashara uwanja wa Taifa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY