Haji Manara awakumbusha TFF haya kuhusu Wachezaji wa Yanga kufungiwa

Haji Manara awakumbusha TFF haya kuhusu Wachezaji wa Yanga kufungiwa

0

 

Haji Manara awakumbusha TFF haya kuhusu Wachezaji wa Yanga kufungiwa

Akitumia Lugha za Utani Haji Manara ameandika ujumbe ambao amelenga wazi kuwachomea Yanga kwa TFF kuhusu wachezaji wao waliofanya fujo wakati wa mechi ya Prisons dhidi ya Yanga.

Haji Manara akitumia ukurasa wake wa Instagram amewachongea Mrisho ngassa na Andrew Vincent kwa TFF waweze kuchukuliwa Hatua.

Nilisahau kuwapongeza Makambo na Kocha mpenda machozi Zahera kwa Tuzo walizopata,kimsingi walistahili Ila Kina Shekh Dante na Alhaji Ngasa nao wapewe za wapiga ndoo bora kwa Mwezi November bana!! Bodi hebu kisanueni basi,mmachelewa chelewa nn kuwapa tuzo zao! Au hadi tusahau? Kwa nnavyowajua Makwasu kwasu hata hzo pongezi na kutaka nyongeza ya mituzo,povu litamwagika kama wafuasi wa Ibrahim Pasha

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY