Hawa ndiyo Nkana FC Red Devils wapinzani wa Simba Kimataifa

Hawa ndiyo Nkana FC Red Devils wapinzani wa Simba Kimataifa

0

Hawa ndiyo Nkana FC Red Devils wapinzani wa Simba Kimataifa

Nkana Fc MAARUFU zaidi kama Nkana Red Devils ni klabu iliyoanzishwa mwaka 1935 mwaka mmoja kabla ya Simba na Mwaka mmoja sawa na Yanga kuanzishwa.

Ni klabu ambayo makao yake makuu ni huko Kitwe Nchini Zambia na wakati Inaanza ilijulikana ka Rhokana United kabla ya kubadili jina na kuwa Nkana Red Devils.

Ndiyo klabu yenye mafanikio zaidi nchini Zambia ikitwaa kombe la ligi kuu ya Zambia mara nyingi zaidi ya timu yoyote ile ya Zambia ikitwaa ubingwa mara 12.

Mafanikio makubwa kimataifa Nkana Red Devils  msomaji wa Kwataunit.co.ke waliwahi kufika fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika katika mwaka 1990.

WAPINZANI WAKUBWA WA NKANA RED DEVILS 

UKIFIKA nchini Zambia moja ya mechi kubwa na kali ya mwaka huwa ni kati ya Nkana Fc dhidi ya Power Dynamos Fc. Hii ndiyo huwa mechi kubwa zaidi katika ligi kuu ya Zambia maarufu kama Kopala Derby.

Tetesi za Usajili Simba leo 6 December 2018

MAFANIKO NA MATAJI AMBAYO WAMEWAHI KUYAPATA NKANA RED DEVILS

  • CAF Champions League: 3 appearances
2000 – Second Round
2002 – Second Round
2014 – Second Round
  • African Cup of Champions Clubs: 9 appearances
  • CAF Cup Winners’ Cup: 2 appearances
1998 – Quarter-Finals
2001 – Second Round
  • CAF Cup: 1 appearance
1999 – Second Round

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY